SIMBA WAFANYA MKUTANO KWA AMANI NA UTULIVU LICHA YA MVUTANO KIASI( PICHA ZOTE NA SHAFIIH BLOG)
|
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage akiongea na wanachama wa klabu hiyo hii leo katika kikao cha mkutano
mkuu wa klabu ya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Police Officer's
Mess Osteybay jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulihudhuriwa na
wanachama wapatao mia 700 ulifanyika kwa saa moja kuanzia saa nne
kamili asubuhi mpaka saa tano. Mkutano huo ulizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja taarifa ya matumizi ya fedha ya klabu, suala la ujenzi wa uwanja
wa Simba pamoja na kuzinduliwa kwa mkakati mpya wa maendeleo ya Simba. |
|
Rage na Mzee Kinesi |
|
Ibrahim Masoud Maestro na mwenyekiti wa kamati ya usajili Zakaria Hans Pope |
|
Mwenyekiti aliyepita wa Simba Hassan Dalali alikuwa mmoja wa wahudhuriaji |
|
|
Katibu Mkuu wa Simba Mtawala |
|
|
Pamoja na mkutano huo kufanyika kwa amani lakini kulikuwepo na mabishano ya hapa na pale miongoni mwa wanachama |
No comments:
Post a Comment