KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, October 17, 2013

Arsenal wanamtaka nyota wa Borussia Monchengladbach Patrick Herrmann.

Arsenal eye January deal for German star Herrmann
Patrick Herrmann
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anataka kumsajili mchezaji wa Borussia Monchengladbach Patrick Herrmann.

Bosi huyo wa washika mitutu ametenga pesa ya kutosha katika uwekezaji wa wachezaji hususaani kwa wachezaji wa kutoka nchini Ujerumani ambapo katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakichukua vipaji kadhaa kama vile Per Mertesacker, Lukas Podolski, Serge Gnabry na Mesut Ozil.
FBL-EUR-C1-ARSENAL-BAYERN MUNICH
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22 pia amekuwa akihusishwa na kutaka kuelekea  katika vilabu vya Barcelona na Liverpool, kwani kwasasa amekuwa nyota mkubwa katika soka la ligi ya Bundesliga na Arsenal wakionekana kujipanga na kudaka saini yake.

No comments:

Post a Comment