KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, October 24, 2013

Fergurson awakusanya mamia waliosubiri saini ya kitabu chake.

Sir Alex Ferguson akishika nakala ya kitabu cha historia ya maisha yake ya soka huko Tesco Extra kitongoji cha Salford hii leo.
Mamia ya watu wamekuwa wakikusanyika katika tawi la Tesco lililoko jijini Manchester tangu mapema asubuhi ya leo ili kuweza kupata fursa ya kupata kopi ya kitabu kilichosainiwa na meneja wa zamani wa Manchester United ambacho kinahusu historia ya Sir Alex Ferguson katika soka (autobiography).
 
Meneja huyo wa zamani wa Manchester United alihudhuria katika tawi moja la duka la vitabu la Tesco Extra store maeneo ya Salford kuanzia saa tanmo asubuhi kwa lengo la kutia saini vitabu vilivyonunuliwa na wadau kopi ambazo zinaelezea maisha yake kuanzia mwaka 1999 na kuenedelea.

Ferguson mwenye umri wa miaka 71, alijiuzulu mwezi Mei kuiongoza United baada ya miaka 26.

Waiting in line: Hundreds queued outside a branch of Tesco in Salford for the opportunity to get a signed copy of Sir Alex Ferguson's new autobiography
Fanatical: One fan wore a Ferguson mask as he queued to buy a copy of the hard-hitting book that has dominated the headlines this week
Flying off the shelves: Staff at the Tesco store set hundreds of copies of the book, released today, in readiness for the book signing
Ferguson book
Waiting game: The queues snaked right out into the car park
Kupitia kitabu hicho, Ferguson aliikosoa Liverpool na meneja wake wa zamani Rafael Benitez, mchezaji wake wa zamani David Beckham na Roy Keane, na nyota wa sasa Wayne Rooney.
Pia ametanabaisha kuwa mara mbili alipewa ofa ya kuifundisha timu ya taufa ya England.
Waiting game: The queues snaked right out into the car park
Waiting game: The queues snaked right out into the car park

No comments:

Post a Comment