KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, November 2, 2013

Mourinho anasema walistahili kichapo kutoka kwa Newcastle.

Jose Mourinho amesema kiwango kibovu cha timu yake ndiyo sababu ya kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Newcastle na kwamba walistahili kupoteza mchezo huo.
Blues waliharibikiwa kabisa kwa magoli ya dakika za majeruhi kutoka kwa Yoan Gouffran na Loic Remy na kumaliza safari yao ya michezo mitano bila kupoteza.
Hata hivyo akiongea baada ya mchezo , Mourinho amesema kikosi chake kilistahili nkupoteza mchezo huo.

‘I didn’t like the performance and I think we deserved to lose,’ said Mourinho.
‘We had a couple of good chances to score the equaliser but they were more in the game than us, they fought more than us, were much more committed than us.
‘They did much to win and for sure they were the best team on the pitch.
‘I didn’t like my team today and I’m disappointed.’

Chelsea ilipata nafasi nyingi katika kipindi cha kwanza lakini umaliziaji ulikuwa mbovu.

No comments:

Post a Comment