Philipp Lahm anasisitiza kuwa kikosi kizima cha Ujerumani kinahamu ya kuifunga Italia hapo kesho licha kwamba akisema si kwa lengo la kulipiza kisasi.
Vikosi hivyo vilikutana katika nusu fainali ya michuano ya Euro 2012 ambapo Azzurri walishinda kwa mabao 2-1 mjini Warsaw na kuendeleza rekodi yao dhidi ya Nationalelf katika michezo ya kimashindano.
Pia licha ya kichapo kutoka kwa kikosi cha kocha Cesare Prandelli, nahodha huyo wa Bayern Munich anasema wako kwasasa wala hawatishiki na matokeo ya mchezo wa Milan licha ya kwamba anakubali kila upande una historia yake kimatokeo baina yao.
"hatuna mawazo ya kulipiza kisasi hatuwezi kubadili wakati uliopita"
"tunajua kuwa hatujashinda dhidi ya Italia kimashindano lakini tunasonga mbele na tunataka kuwafunga Italia katika mashindano."
Lahm amekuwa akichezeshwa kiungo na kocha wake wa klabu Pep Guardiola ndani ya kikosi cha Bayern na kusema kocha wake wa timu ya taifa ya Germany Joachim Low amekuwa akimuweka gizani juu ya nafasi ipi atacheza katika kombe la dunia kama ni pembeni kulia,kushoto au sehemu ya ulinzi wa kati.
"I assume that I will know before the World Cup, where I will be assigned," Lahm added.
"It is important for every player that he has a firm and clear
position. But I have proved over years that it is not a problem for me
to change positions.
"Joachim Low stands for attacking football. That is his philosophy.
We have many offensively strong players who like to have the ball and
make the game themselves."
No comments:
Post a Comment