KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, November 13, 2013

ZLATAN IBRAHIMOVIC ANASEMA KOMBE LA DUNIA LINAMUHITAJI YEYE ZAIDI KULIKO CRISTIANO RONALDO.

Mshambuliaji wa kimataifa w Sweden Zlatan Ibrahimovic amedai kuwa itakuwa ni hasara sana kwake kukosekana katika fainali ya kombe la dunia kuliko mpinzani wake mreno Cristiano Ronaldo.
Wawili hao watakutana katika michezo miwili ya kimataifa ya mtoano kusaka ni nani wa kuelekea katika kombe la dunia nchini Brazil 2014.
Wote wawili wamekuwa na msimu mzuri katika vilabu vyao ambapo mshambuliaji wa Paris Saint Germain pamoja na mwenzake wa Real Madrid wamejumuishwa katika kinyanganyiro cha kuwania tuzo ya Ballon mwishoni mwa mwaka.
Amenukuliwa akisema
‘I think that the World Cup needs Zlatan more than Ronaldo,’
‘The excitement I can bring to the game and the goals I can score – nobody can rival me for that. I believe the fans would want to see me there above anybody.
‘I respect him as a player – there is no question he is one of the best.
‘The World Cup is the greatest sporting competition in the world – it needs to have the best players.
‘If Ronaldo, or Neymar, or Rooney, or Messi, or Xavi is missing then it is a shame for the competition – and it is a shame for the World Cup that one of myself or Ronaldo will not be in Brazil.
‘I just need to make sure I do everything over the next two games to make sure that it is him who misses out and not myself.’

No comments:

Post a Comment