Uruguay imeichapa Jordan 5-0 na hivyo kujiweka vizuri zaidi kuelekea kukata tiketi ya kucheza kombe la dunia kabla ya mchezo pili wa marudian.
Maxi Pereira alifunga goli la kwanza kabla ya Christian Stuani kuandika bao la pili.
Ahmad Ibrahim aliokosesha timu yake bao la kufuatia machozi kabla ya Nicolas Lodeiro kuandika bao la tatu kwa Uruguay akiwa umbali wa yadi 20.
Cristian Rodriguez aliandika bao la nne na Edinson Cavani akaandika bao la tano kwa mpira mpira mzuri wa free-kick Superb free-kick.
- Kumbukumbu za michezo ya play-off
- 2010 : Beat Costa Rica 2-1 on aggregate
- 2006 : Lost to Australia on penalties
- 2002 : Beat Australia 3-1 on aggregate
Mabingwa hao wa dunia wa miaka ya 1930 na 1950 ambao walikuwa wakitakiwa mara hii kuchezo michezo ya play-off walifanikiwa katika fainali zote tatu zilizopita na ambapo sasa watakuwa wakiwakaribisha huko Montevideo Jordan katika mchezo wa pili Jumatano ijayo ambapo inavyoonekana ni kama kukamilisha taratibu tu kwani tayari wako vizuri kufuzu kombe la dunia.
Uruguay ilimaliza ya tano katika kunsi ya America ya Kusini wakishindwa kufuzu moja kwa moja kutokana na kushindwa na Equador kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa na sasa mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez akisaidia na Edson Cavani wanaonekana kujenga safu yenye uchu kabla ya kukutana na Jordan.
Jordan taifa kutoka mashariki ya kati liliwachapa Uzbekistan katika bara la Asia katika michezo ya kufuzu na kutinga michezo ya mtoano bado halijawahi kucheza kombe la dunia katika Historia.
No comments:
Post a Comment