Hapa kazi tu ndivyo inavyoonesha akisema beki wa timu ya Spice Stars wakati akipambana na mshambuliaji wa Azam fc Kipre Herman Tchetche katika mchezo wa Mapinduzi Cup ambao Azam imeshinda 2--0 |
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt. Muslih Hijja, akiisalimiana wachezaji wa timu ya Spice Stars.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt. Muslih akiisalimiana wachezaji wa timu ya Azam na hapo akishikana mikono na Eraso Nyoni.
Kikosi cha timu ya Spice Stars kilichozamishwa na Azam bao 2-0.
Mchezaji wa timu ya Azam Erasto Nyoni akiwapita mabeki wa timu ya Spice Stars ya
Zanzibar, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja
wa Amaan, timu ya Azam imeshinda 2-0
Mlinzi wa pembeni wa Azam Erasto Nyoni wakiwatoka mabeki wa Spice Stars
Hapa kazi tu ndivyo inavyoonesha akisema beki wa timu ya Spice Stars wakati akikabiliana na mshambuliaji wa Azam fc Kipre Herman Tchetche katika mchezo wa Mapinduzi Cup, timu ya Azam imeshinda 2--0
No comments:
Post a Comment