Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero atakuwepo nje ya uwanja kufuatia majeraha ya msuli wa paja.
Muargentina huyo mwenye umri wa 25, alifunga katika ushindi wa timu yake wa magoli 5-1 dhidi ya Tottenham Jumatano lakini aliumia kabla ya mapumziko.
Atazikosa mechi dhidi ya Chelsea, Norwich, Sunderland and Stoke ya ligi kuu.
Aguero absence
- Chelsea (H) 3 Feb
- Norwich (A) 8 Feb
- Sunderland (H) 12 Feb
- Chelsea, FA Cup, (H) 15 Feb
- Barcelona, CL, (H) 18 Feb
- Stoke (H) 22 Feb
Aguero pia atakosekana katika mchezo wa FA mchezo wa roundi ya tano dhidi ya Chelsea Februari 15 na mchezo muhimu wa ligi ya mabingwa hatua ya 16 bora dhidi ya Barcelona siku tatu baadaye.
Amerejea hivi karibuni tu baada ya kukosekana kwa michezo nane.
No comments:
Post a Comment