Kombe la Shirikisho: Wapinzani wa Azam fc wawasili nchini
|
Wapinzani
wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa timu ya Ferroviario wakiwa uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam baada ya kuwasili jioni hii.
Ferroviario itakwaana na Azam FC jumapili jioni kwenye uwanja wa Azam
Complex |
No comments:
Post a Comment