KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 22, 2014

Champions League Afrika:Al Ahly wapigwa na Al Ahli Benghazi ya Libya

Edward Sadomba

Mabingwa watetezi wa taji la ligi ya mabingwa barani Afrika Al Ahly imepokea kichapo ugenini nchini Libya dhidi ya Al Ahli Benghazi ya Libya katika mchezo wake wa raundi ya 16 mchezo uliopigwa hapo jana.

Walipigwa bao hilo kunako kipindi cha pili lililofingwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Edward Sadomba .

Ushindi huu unatoa mazingira magumu kwa Benghazi, ambao katika mchezo wa huo walichezea nchini Tunisia kama uwanja wa nyumbani kutokana na sababu za kiusalama. 

Hii inawapa ugumu kwenye mchezo huo wa marudiano wiki ijayo wakati kila upande ukijaribu kusaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi.

African Champions League last 16
  • 21/03: Al Ahli Benghazi 1-0 Al-Ahly
  • 22/03: Real Bamako v Esperance
  • 22/03: Nkana v Zamalek
  • 23/03: Sewe San Pedro v TP Mazembe
  • 23/03: Horoya v CS Sfaxien
  • 23/03: Entente Setif v Coton Sport
  • 23/03: AC Leopards v Al Hilal
  • 23/03: AS Vita Club v Kaizer Chiefs
Bao la washindi lilifungwa kunako dakika ya 67

No comments:

Post a Comment