Manchester United imeanza inajipanga kumpokea kiungo wa Sporting Lisbon William Carvalho baada ya kiungo kuihakikishia United kuwa hatma yake ya baadaye itakuwa ni kucheza soka Old Trafford.
Kumekuwe na joto kali ndani ya klabu hiyo baada ya mabingwa hao wa Premier League kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Olympiakos wiki iliyopita.
Lakini hata hivyo Carvalho, ambaye ndani ya mkataba amethaminishwa kuuzwa kwa pauni milioni £37.5, amesema kuwa atakuwa ni mwenye furaha kama atajiunga na mashetani wekundu wakati wa kiangazi.
Chelsea na Real Madrid wamekuwa wakihusishwa na kiungo huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye ana miaka minne imesalia katika mkataba wake
Akiongea baada ya mchezo wa ushindi wa Sporting Lisbon wa mabao 2-1 dhidi ya Braga, kiungo huyo amesema
‘ni vizuri kupongezwa na kujua kuwa kuna vilabu vikubwa vinanitaka.
‘[My future could be with] Manchester United au Real Madrid. It’s
just nice to have a great European club after me, but at the moment I’m
just totally focused on Sporting and doing my best until the end of the
season. At the end of the campaign, we will see what happens.’
No comments:
Post a Comment