KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, April 12, 2014

PAMBANO KIMATAIFA LA MASUMBWI BAINA YA FRANCIS MIYEYUSHO NA SUKKASEM WA THAILAND LIMEAHIRISHWA

Pambano la masumbwi ya kulipwa baina ya mabondia wa Sukkasem Kietyongyuth wa Thailand na Francis Miyeyusho( Pichani juu) na Fransic Cheka wa Tanzania dhidi ya Gavad Zohrehvand wa Iran( Pichani chini) limeahirishwa mpaka Jumamosi ijayo. Taarifa zinasema kuwa kuahirishwa huko kumetokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kujaza maji katika ukumbi wa PTA ambao ungetumika kwa ajili ya mapambano hayo. Taarifa hizi zimethibtishwa na Rais wa PST Immanuel Mlundwa ambaye shirikisho la lake lilikuwa likishirikiana na mwaandaaji wa mapambano hayo Promota Musa Kova.

Fransis Cheka akipima uzito huku mpinzani wake Gavad Zohrehvand wa Iran akishuhudia hapo jana.

No comments:

Post a Comment