Cesc Fabregas nje dhidi ya Boca Juniors Arsenal imetangaza kuwa nahodha wa kikosi chao ambaye amekuwa akiwaniwa na Barcelona Cesc Fabregas ameondolewa katika kikosi hicho ambacho kitakuwa dimbani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Boca Juniors mchezo ambao pia ni wa Emirates Cup.
Maamuzi ya kumuondosha muhispania huyo yanatazamwa kama ni kuwasha cheche mpya za muendelezo wa mazungumzo zaidi kati ya Arsenal na mabingwa wa Hispania Barca kuwa yanaelekea kukamilika.
Menaja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kiungo huyo amekuwa akichanganywa na mipango ya uamisho zaidi wakati hali ikiwa ni ya sintofahamu kuhusu mustakabali wake kama atajiunga nao vijana wenzake wa nyumbani ama laa lakini meneja huyo mfaransa anasema anajua kinacho msibu nahodha wa kikosi chake.
"He is not settled and that has to be sorted out soon. He [Fabregas] is just coming back from injury and we have to make sure that he is focused on being with us,"
"Cesc is torn between to loves. I can understand that but we want to be certain about his commitment."

No comments:
Post a Comment