KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 29, 2011

'Carlos Tevez anachezea Manchester City; Samuel Eto'o & Wesley Sneijder wanachezea Inter' - Gian Piero Gasperini apuuzia gumzo la uhamisho Kocha wa kikosi cha Inter Milan Gian Piero Gasperini amepuuzia mipango ya uhamisho ambayo inaipa wakati mgumu klabu yake huku akisisitiza kuwa akili yake ni katika mchezo wa mwishoni mwa juma hili wa Dublin Cup.
Kumekuwepo na taarifa zinazo wahusisha Samuel Eto'o na Carlos Tevez huenda muafaka ukapatikana huko Dublin ambapo Inter itakuwa dimbani dhidi ya Manchester City.
Hata hivyo Gasperini amejaribu kuweka pembeni mazungumzo na maswali mengi juu ya hilo la uhamisho.
Amekaririwa Gasperini katika mkutano na waandishi wa habari juu ya taarifa zilizo ripotiwa na La Gazzetta dello Sport, akisema
"tutazungumzia kuhusu mpira na mchezo wetu dhidi ya Manchester City hatulumbani juu ya uhamisho wa wachezaji hapa ".
"najua vyombo vya habari vinapendezwa na na habari za uhamisho lakini tupo hapa kwa maandalizi ya mchezo.lina mazungumzo mengi ukweli ni kwamba , Tevez anachezea City na wengine wako na Inter.
"Wesley Sneijder yupo hapa kama ilivyo kwa Samuel Eto'o na tupo hapa katika maandalizi ya Supercoppa Italiana na si kwa ajili ya uhamisho wa wachezaji.
"In any case, the choices are made by the president [Massimo] Moratti, but the fact that great players are here means that Inter are a great team."

No comments:

Post a Comment