KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 22, 2013

Winga Sinclair Man City ajiunga na West Brom kwa mkopo.

Fresh start: New signing Scott Sinclair will wear No 10 shirt at West Brom
FScott Sinclair akiopnyesha jezi namba 10 atakayoivaa West Brom
West Bromwich Albion sign Scott Sinclair from Manchester City on a one season loan

West Brom imeilipa Manchester City kiasi cha pauni milioni £2 kwa ajili ya kumchukua winga wa kimataifa wa Scottland  Sinclair kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo.

Mpango huo unajumuisha maamuzi ya kuweza kumnunua na emefahamika kuwa Albion imekubali kumlipa mshahara Sinclair wakati wote atakapo kuwa akiitumikia klabu hiyo na hiyo itakuwa nim mara ya saba kucheza soka la mkopo kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England wa kikosi cha wachezaji wenye umri chini ya miaka 21 hii ni baada ya kufanikiwa kupita katika kipimo cha afya alichokifanya hii leo asubuhi. Amekabidhiwa jezi nambari 10.

City ilimsajili Sinclair kwa pauni milioni £8 akitokea katika klabu ya Swansea kabla ya dirisha halijafungwa msimu uliopita lakini alicheza michezo mitatu tu katika msimu wake wa kwanza.

Frustrating: Sinclair made only 11 appearances for City
Frustrating: Sinclair made only three starts for City

No comments:

Post a Comment