Makamu wa Rais wa klabu ya Palermo Guglielmo Micciche amesema kuwa Javier Pastore anaweza kujiunga na Chelsea,lakini kaongeza kuwa pia kuna vilabu vingine vikubwa vitatu vinafukuzia saini yake huku mazungumzo ya kiwa katika hatua ya juu.
Nyota huyo mwenywe umri wa miaka 22 amekuwa akihusishwa na kutaka kujiunga na vilabu kadhaa kama Roma, Real Madrid, Barcelona, AC Milan, Inter, Manchester City huku bosi wa Chelsea Andre Villas-Boas akionekan kuwa katika hatua nzuri zaidi na pia kuna offer nzuri nyingine toka katika klabu ambayo hata hivyo hakuwa tayari kuitaja.

No comments:
Post a Comment