KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, November 29, 2012

Dkt.Fenella Mukangara Afungua Mkutano Wa Wenyeviti Wa Kamati Za Michezo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifungua Mkutano baina ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na wajumbe wa Kamati za Michezo za Mikoa Tanzania Bara “Ma-RAS” (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisalimiana na RAS wa Njombe mara baada ya kufungua kufungua Mkutano baina ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na wajumbe wa Kamati za Michezo za Mikoa Tanzania Bara Ma-RAS Jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.

No comments:

Post a Comment