KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, December 30, 2012

WAZEE WA UTURUKI YANGA WAONDOKA LEO.

Wachezaji wa Yanga Nadir Haroub Kanavaro akiwa na Ladslaus Mbogo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere kabla ya kukwea pipa kuelekea nchini Uturuki alfajiri ya leo.
 Wachezaji wa Yanga wakishuka kutoka katika basi lao tayari kwa maandalizi ya kupanda ndege kuelekea Antario Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania Bara.
Saidi Bahanuzi, Mbuyu Twitte na David Luhende wakisubiri maelekezo mengine baada ya kushuka katika basi la timu hiyo kwa maandalizi ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uturuki kuweka kambi ya wiki mbili.(Picha zote Shafii Dauda blog)

No comments:

Post a Comment