KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, January 16, 2013

HARAKATI ZA UCHAGUZI WA TFF ATHUMANI NYAMLANI NA JAMALI MALINZI WAPISHANA KWA MBWEMBWE TFF KATIKA ZOEZI LA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU WOTE WANAWANIA URAIS WA TFF. TAZAMA PICHA NA ENJOY.

Athumani Nyamlani ambaye pia ni makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake akiingia katika ofisi za shirikisho,la soka nchi TFF kwenda kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Rais wa shirikisho hilo.
Athumani Nyamlani hapo analipa ada ya fomu shilingi laki tano taslim.
Nyamlani akitia saini katika kitabu cha orodha ya watu waliochukua fomu.
Na hapo anakabidhiwa fomu yake.
Nyamlani akiondoka baada ya kuchukua fomu yake.
Na hapo akitoa neno baada ya kuchukua fomu na kubwa ni kwamba kazi ya kutengeneza miundo mbinu imekwisha malizwa na Rais Tenga na sasa ni mpira na yeye ndiye mwenye mpira.
Nyamlani akiwa na wapambe wake katika picha ya pamoja.
Huyu ni mwenyekiti ni Jamali Malinzi akiingia ofisi za shirikisho la soka nchini akirejesha fomu yake ya kuwania nafasi ya Rais wa shirikisho la soka nchini TFF baada ya kuchukua fomu yake kwa njia ya mtandao.
Hapo anasalimiana na jamaa mbalimbali wakiwemo wandishi wa habari.
Hapo anakabidhi fomu yake iliyokwisha kujazwa.
Hapo anatia saini kitabu cha kumbukumbu ya orodha ya waliorejesha fomu.
Naye kama ilivyo ada anaongea na waandishi wa habari kutoa neno la nini kimemsukuma kutaka nafasi ya Rais wa TFF.

No comments:

Post a Comment