KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 24, 2013

HATIMAYE UNITED YAMKAMATA ZAHA KUANZA KUMTUMIA KIANGAZI LAKINI YAPATA PIGO LA YOUNG.

Incoming: Wilfried Zaha will move to Manchester United but remain at Crystal Palace until the summer
Ingizo jipya la Uinted: Wilfried Zaha atajiunga na Manchester United majira ya kiangazi kwasasa ataendelea kutumiwa na Crystal Palace mpaka wakati huo.
Manchester United imefanikiwa kumnasa winga wa Cristal Palace Winfried Zaha kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £15 wakati huu ambapo Ashley Young akitazamiwa kukosekana katika mchezo wa michuano ya vilabu bingwa ulaya dhidi ya Real Madrid kutokana na kusumbuliwa na mguu.
Young alipatwa na maumivu hayo katika mchezo wa ligi dhidi ya Liverpool pale United ilipochomoza na ushindi wa mabao 2-1 kufuatia kugongana na Daniel Agger na inaarifiwa kuwa winga huyo amepatwa maumivu ambayo yatamuweka nje kwa wiki nne.
Meneja wa United Sir Alex Ferguson alitarajia kumtumia Young katika mchezo wa ligi dhidi ya Tottenham wiki iliyopita lakini ikashindakana kutokana na kwamba alitakiwa kufanyiwa uangalizi wa mguu wake na majibu yakimtaka asubiri kwa wiki nne.
Cat that got the cream: Sir Alex Ferguson has beaten many of his rivals to the signingTaarifa za faraja kwa United ni kwamba imekamilisha dili la kumsajili Zaha baada ya kila kitu kuwa kimekwenda sawa na kukubalika baina ya United na Palace.
United itatakiwa kutanguliza malipo ya awali ya pauni milioni £10 yakiwa ni malipo makubwa kuwahi kutokea kwa mchezaji anayechezea timu inayoshiriki ligi ndogo ya Championship ikiwa ni zaidi ukilanganisha wakati ambapo Arsenal ilimchukua Theo Walcott kwa pauni milioni £6m wakati huo akitokea Southampton mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 2006.
Blow: Ashley Young has been ruled out for one month meaning he will miss the double-header against Real Madrid
Pigo: huyu ni Ashley Youngalazimika kusubiri mwezi mzima kiasi kuukosa mchezo muhimu dhidi ya Real Madrid.

No comments:

Post a Comment