KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, January 4, 2013

KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR YAVURUGWA NA MIEMBENI , AZAM NA COAST UNION HAKUNA MBABE.

Michuano ya kombe la Mapinduzi imeendelea tena kwa michezo miwili iliyochezwa katika viwanja viwili tofauti mjini Zanzibar.
Katika mchezo uliopigwa katika dimba la Mao Tze Tung Miembeni imefanikiwa kuichapa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mabao 4-1 huku mabao ya washindi yakifungwa na Adeyum Saleh Ahmed, Mohamed Hamdani na Rashid Roshwa ilihali bao la Mtibwa likifungwa na Juma Mpakala.

Katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Aman mabingwa watetezi wa taji hilo Azam wamekwenda sare ya bila mabao wagosi wa kaya Coast Union ya Tanga.

No comments:

Post a Comment