KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, January 1, 2013

SIKU YA PILI YA KAMBI YA YANGA NCHINI UTURUKI. (PICHA MSAADA WA AFISA HABARI WA YANGA BARAKA KIZUGUTO)

Wachezaji wa Yanga wakishuka kwenda uwanja wa mazoezini jioni ya  jana.
Ernie Brandts akiwa na Nizar Khalfani tayari kwa mazoezi huku madhari nzuri ya FAME yakionyesha jinsi kambi ya Yanga ya muda ilivyo  na mandari nzurina mahitaji muhimu yote yanapatikana.
Nadir Haroub Kanavaro akiwa na Nizar Khalfani wakati wa mazoezi.
Nadir Haroub Kanavaro, Frank Domayo na Simon Msuva muda mfupi kabla ya kuanza mazoezi jana jioni.
Rehani, Mbuyu Twitte, George Banda, Didier Kavumbagu na Hamisi Kiiza wakicheza hangaisha bwege Banda akiwa kati..

No comments:

Post a Comment