KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 5, 2013

UZINDUZI WA KOMBE LA MAPINDUZI ULIVYOKUWA.

Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi akisalimiana na Haruna Moshi wa Simba wakati akizikagua Simba na Jamhuri kuashiria michuano ya kombe la Mapinduzi kuzinduliwa rasmi tarehe 2.01.2013 uwanja wa Jamhuri..
Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi ta Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akiwa pamoja na Rais wa chama soka Zanzibar Aman Makungu kulia na kushoto ni Said Ally Mbarouk wazari wa habari, utamaduni utalii na michezo .

Maalim Seif kifuatiali kwa makini mchezo wa ufunguzi wa michuano ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba na Jamhuri ambao ulimalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-2.

No comments:

Post a Comment