KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, January 25, 2013

WABAGUZI WA RANGI KATIKA SOKA WARUDIA ENZI ZA AKINA JOHN BARNES KWA KUWATUPIA NDIZI WACHEZAJI WEUSI.

Shameful: Liverpool winger John Barnes flicks off a banana after it was thrown at him
Shameful: Winga wa Liverpool John Barnes akiondoa ndizi aliyotupiwa iliyoashiria kubaguliwa kwa rangi.
 Adhabu imetolewa kwa mtu anayesadikiwa kuwa alimtupia ndizi mwamuzi katika mchezo baina ya AFC Wimbledon dhidi ya Port Vale mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Shabiki anayesadikiwa kuwa na umri wa miaka 74 wa Wimbledon kama wenyewe wanavyoiita timu yao Don alikamatwa na kuhojiwa na polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana jambo ambalo hata hivyo halijachukuliwa kama ni la kibaguzi licha ya kwamba linarudisha kumbukumbu nyuma ambapo wachezaji weusi walikuwa akikumbana na kadhia ya kutupiwa nduzi kama ishara ya ubaguzi.

Vinara wa ligi ya chini, nchini England inayotambuliaka kama 'League Two' Vale waliokuwa nyuma walipigana na kufanikiwa kupata angalau alama moja kupitia magoli ya Daniel Jones na Tom Pope baada ya mabao ya utangulizi ya Jack Midson.
Referee Graham Scott picks up a banana from the pitch
Referee Graham Scott picks up a banana from the pitch
Arrest: Mwamuzi aliokota ndizi aliyotupiwa na mashabiki wa Don.Arrest: The referee removes a banana from the pitch that was allegedly thrown from the crowd
Akiongea na television ya This is Staffordshire afisa usalama katika viwanja vya soka Sam Cunningham amesema 
 'Tumeona ndizi ikirushwa uwanjani na baadaye television ikarejea tukio hilo'

'Inaonyesha mashabiki walikuwa na hasira na maamuzi ya mwamuzi na kuamua kumrushia ndizhezaji ilidhamiriwa kwake.'

Huko nyuma kurushwa kwa ndizi uwanjani kulikuwa kunahusishwa na mambo ya kibaguzi katika soka hususani katika miaka ya 1980s.
 Picha ya chini inamuonyesha aliyekuwa mchezaji mweusi mkubwa katika soka kuwahi kutokea John Barnes akiondoa ndizi uwanjani ambayo alirushiwa yeye wakati akiitumikia timu yake ya Liverpool miaka hiyo.

Kwasasa matukio ya ubaguzi wa rangi yanaonekana kupungua majukwaani licha ya kwamba mamlaka husika kwa kushirikiana na polisi sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakiendelea kupambana navyo.

No comments:

Post a Comment