KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 19, 2013

YANGA YAONYESHA VITU VYA UTURUKI UWANJA WA TAIFA YAIBANJUA BLACK LEOPARDS YA SAUZI 3-2. Picha kutoka Lenzi ya michezo blog,

Mshambuliaji wa timu ya Black Leopards FC ya Afrika Kusini, Joshua Obaje (kushoto) akijiandaa kupiga mpira mbele ya mlinzi wa timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam-Tanzania, Oscar Joshua wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo mbili uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-2.
TIMU ya Yanga leo imeifunga mabao 3-2 Black Leopard kutoka Afrika ya Kusini, mchezo ambao ulikuwa wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
 
Heka heka langoni kwa Yanga kama anavyo onekana mlinda Mlango wa Yanga  Said Mohamed akijaribu kuokoa hatari hiyo langoni kwake.
Wana Yanga kutoka Pugu Kigogo Fresh wao walikodi daladala kwenda kuona mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia game hilo l;a watoto wa 'Uturuki'
Frank Domayo wa Yanga (chini) akimshika jezi Mlinzi wa Black Leopards, Humahrey Khoza.
Haooo wenyewe wakiimba
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akijaribu kumtoka mchezaji wa Leopards katika mchezo wa leo.
Hawa nao walikuwepo.
Baadhi naona hawajafurahia kiwango
Mlinzi wa Black Leopards, Humahrey Khoza akigangwa gangwa huku mlinda mlango wake Ayanda Mishal akimwangalia.
Abbas Amidu wa Black Leopards (kushoto) akiwania mpira na Oscar Joshua wa Yanga.
Watoa Huduma ya kwanza wakifuatilia game hilo
Walinda usalama walikuwepo wa kutosha
Hawa jamaa baada ya game kumalizika na wenzao wa Yanga kutimkia katika chumba cha kubadilishia nguo na mapumziko wao waliingia uwanhani na kunyoosha viungo kwanza ili misuli irudi katika hali yake ya kawaida.
Hiki ndiyo kikosi kazi cha Yanga
Kikosi cha Black Leopards ya Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment