KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, February 8, 2013

MAMBO 10 YA KUANGALIWA KUELEKEA MICHEZO YA MWISHONI MWA JUMA.

Keeping fit: Beckham trains in London on Thursday in his Paris Saint-Germain kit
Miongoni mwa matukio 10 ya kutazamwa ni pamoja na Paris Saint-Germain kuwepo uwanjani  bila ya kiungo wao mpya David Beckham, kiungo wa Arsenal Jack Wilshere akitarajia kuwa katika kiwango safi katika mchezo dhidi ya Sunderland n vilevile maandalizi Real Madrid na Juventus kuelekea katika michezo ya michezo ya vilabu bingwa barani Ulaya dhidi ya wapinzani wao kutoka Uingereza.
 
1. Nchini England Matej Vydra wa Watford mwenye umri wa miaka 20 aliyetokea Udenise kwa mkopo anatarajiwa kuwepo dimbani, akiwa na rekodi ya kufunga magoli 19 huku mabao 7 akifunga katika michezo minne aliyoanza dimbani.
Impressive: Matej Vydra
Matej Vydra.
Impressive: Wilfried Zaha
Wilfried Zaha ana matumaini ya kupambana na wapinzani wao wakubwa wa ligi ndogo ya usiku wa leo.
Mateji Vidra nyota wa kimataifa wa jamhuri ya Czech atakuwa uwanjani dhidi Wilfried Zaha Crystal huko Vicarage Road tonight, Palace will have theirs on Vydra.
Zaha amefunga goli moja tu tangu Oktoba 6. lakini hiyo si njia ya kumjadili ingawa Manchester United itakuwa ikimfuatilia juu ya uwezo wake wa kufunga unavyoendelea.

2.Nchini Ufaransa, Paris Saint-Germain watakuwa katika uwanja wa nyumbani usiku huu. Kuna taarifa kuwa David Beckham atakuwepo lakini Carlo Ancelotti anasema Beckham amepewa muda wa kuelekea London akajifue zaidi kurejesha uwezo wake.
Beckham huenda akaanza kuonekana kwa mara ya kwanza akivaa jezi ya PSG mwishoni mwa wiki ijayo.
Keeping fit: Beckham trains in London on Thursday in his Paris Saint-Germain kit
Beckham akifanya mazoezi jijini London akiwa amevalia vifaa vya mazoezi vya Paris Saint-Germain.


3. Kesho jumamosi michezo ya ligi kuu ya England itakuwa ikiendelea ambapo Tottenham itakuwa inamtazamia kurejea kwa mshambuliaji wake Emmanuel Adebayor akitokea nchini Afrika Kusini ambako alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Togo akishiriki fainali za mataifa ya Afrika.
Wakati Jermain Defoe akiwa nje kwa maumivu Spurs imeshindwa kufunga zaidi ya goli moja katika jumla ya michezo mitano iliyopitaBlow: Jermain Defoe was helped off the pitch against West Brom after a 50-50 with Shane Long
Jermain Defoe akisaidiwa kutolewa uwanjani baada ya kugongana na Shane Long wa West Brom.
Timely return: Emmanuel Adebayor has returned from the Africa Cup of Nations following Togo's defeat
Emmanuel Adebayor amerejea kikosini baada ya Togo kutolewa kwenye robo fainali ya AFCON.

4. Kaskazini mwa London Arsenal itakuwa ikiwakaribisha  Sunderland, ambapo Jack Wilshere anatazamiwa kurejea katika uwezo wake.
Wilshere mweye umri wa miaka 21, aliaanza kuitumikia Arsenal katika mchezo mchezo dhidi ya Blackburn September 2008. Adebayor alikuwepo akiitumikia Arsenal wakati huo. Hicho ni kipindi kirefu kimepita na hivyo inaonyesha ni namna gani Wilshere alivyokuwa muhimu katika kikosi cha Arsenal tangu wakati huo.
Masterclass: Jack Wilshere dazzled for England during their victory over Brazil on Wednesday
Jack Wilshere akionekana katika picha katika mchezo wa juzi ambao England iliifunga Brazil jumatano.
Fresh faced: Jack Wilshere made his first appearance against Blackburn in 2008
Jack Wilshere akionekana kwa mara ya kwanza katika jezi ya Arsenal mchezo ulikuwa ni dhidi ya Blackburn mwaka 2008.
 
5. QPR inatarajia kuwepo dimbani dhidi ya Swansea City, mchezo ambao unarudisha nyuma kumbukumbu ya kichapo cha mabao 5-0.
Road to recovery: Swansea hammered Queens Park Rangers on the opening day of the season at Loftus Road
 
6.Huko katika Championship Nottingham Forest watakuwa wageni wa Bristol City ambao watakuwa wakimkosa Billy Davies aliyerejea Forest.
Zaidi ya hayo meneja wa Nottingham Sean O’Driscoll alikuwa ni miongoni mwa mameneja wa wamiliki wa kiarabu kutoka Kuwaiti klabu ya Forest.
Interesting: Sean O'Driscoll will pit his Bristol City side against his former club Nottingham Forest this weekend

7. Juventus, ambao wanaipita Napoli kwa alama 3 katikamsimamo wa ligi ya Italia Serie A, watakuwa wenyeji wa Chievo mjini Turin wakiwa wanajipanga kwa safari ya kuelekea Glasgow jumanne kucheza dhidi ya Celtic. 

Manchester United haitakuwa dimbani mpaka jumapili dhidi ya Everton kabla ya kuikabili Real Madrid.
 
Everton iliipa shida sana katika mchezo wa ufunguzi wa msimu kwa kwenda nayo sare ya mabao 4-4 mchezo ulipigwa Old Trafford mwezi April.
Champions League watch: Juventus host Chievo this weekend ahead of their clash with Celtic
Juventus itakuwa ikicheza dhidi ya Chievo kabla ya kuivaa Celtic.
Real deal: Manchester United prepare to face Cristiano Ronaldo and Real Madrid with a Premier League match against Everton
Manchester United inajipanga kumkabili Cristiano Ronaldo na  Real Madrid kwa mchezo dhidi ya Everton.
Bad omen? Everton pulled back two goals at Old Trafford last season to snatch a 4-4 draw against United 
 
8. Barcelona ambao wanapewa nafasi kubwa ya kushinda vilabu bingwa Ulaya hawatakuwa uwanjani kwa mchezo wa ligi mpaka baada mchezo dhidi AC Milan. 
Full backing? There has been a relatively low attendance throughout the season at the Nou Camp to watch Lionel Messi and Barcelona 
9. Aston Villa ambayo imekuwa katika hali mbaya kimatokeo itakuwa ikikabiliana na West Ham. Huu ni mchezo wa kubadilisha matokeo kwani italazimika kushinda mchezo kwakuwa haijashinda tena tangu iliposhinda dhidi ya Arsenal mwezi Disemba kule Anfield.
Anxiety: Aston Villa allowed Marouane Fellaini and Everton back into the game at Goodison Park last weekend 
 
10. Kwingineko katika championship Wolves watakuwa wenyeji wa Leeds.
Wolves iko katika hatari ya kushuka daraja ikiwa katika nafasi moja tu kabla ya kuvuka mstari wa hatari wa ligi hiyo na inaweza kushuka daraja ikiwa ni miezi 12 imepita baada ya kushuka kutoka Premier League.

No comments:

Post a Comment