KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, February 17, 2013

SIMBA YAKAMATWA NA FC LIBOLO YA ANGOLA UWANJA WA TAIFA.

Mlinzi wa Simba Shomari Kapombe akijaribu kuudhibiti mpira mbele ya kiungo Andres Madrid wa FC Libolo ya Angola katika mchezo wa michuano ya vilabu bingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0. Bao la Libolo limefungwa na Joao Martins kwa kichwa kipindi cha pili cha mchezo huo.

No comments:

Post a Comment