KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, March 28, 2013

SUAREZ ANASUBURI HUKUMU YA FIFA BAADA YA KUMTWANGA NGUMI MLINZI WA CHILE JARA.

Incident: Luis Suarez hit Gonzalo Jara in the face
Tukio la Luis Suarez kumgonga ngumi Gonzalo Jara kama linavyoonekana katika picha.
Shirikisho la soka duniani FIFA litaamua kama mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay aadhibiwe ama baada ya kupoikea ripoti ya mwamuzi aliyechezesha mchezo wa baina ya Uruguay na Clile.
Mshambuliaji huyo wa Liverpool alionekana kupitia televisheni akimchapa ngumi mlinzi wa Chile Gonzalo Jara katika mchezo wa kuwania kusaka nafasi ya kucheza kombe la dunia tukio ambalo mwamuzi wa mchezo huo Nestor Pitana hakulitolea maamuzi.
 Tukio hilo lilitokea wakati ukisubiriwa mpira wa kona kupigwa kuelekea katika goli la Chile ambalo lilizua makabiliano ya maneno baina ya wachezaji hao.
 
Endapo itabainika kuwa ana makosa, Suarez huenda akakumbana na adhabu ya kusimama kucheza ambapo kwa sasa FIFA wanasuburi vielelezo muhimu vya ripoti ya mchezo huo.
Banned: Suarez will already serve a suspension for accumulated yellow cards

No comments:

Post a Comment