MSHINDI
WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII
MOROGORO KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS
UTALII DAR ES SALAAM KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA THELESIA KILOMO
MISS UTALII VYUO VIKUU.
MSHINDI
WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII
MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA
MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA
HALIMA BENDEGO
KUTOKA
KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE
SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA
NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS
UTALII TANZANIA 2012/13, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO
KUTOKA
KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE
SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA
NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS
UTALII TANZANIA 2012/13, MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA
LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA
BENDEGO ,MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO NA MISS UTALII SINGIDA
MWAKOMBO KESSY ALIYESHINDA NAFASI YA TANO
WASHIDI WA TANO BORA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA TANGA.
No comments:
Post a Comment