KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, May 5, 2013

kimataifa


Goli la Sylvain Distin likikataliwa katika mchezo ambao Everton ilikataa katakata kufungwa katika mchezo wao dhidi ya Liverpool kwa mara ya kwanza katika dimba la Anfield tangu mwaka 1999 katika Merseyside derby.

Sare hiyo imeifanya Everton kukalia nafasi ya sita katika msimamo wa ligo ikiwa nyuma kwa alama sita mbele ya Tottenham, ambao wanakalia nafasi ya kufuzu Europa League ikiwa imesalia na michezo miwili qualifying place, with two games left for Moyes's team and three for Spurs.
Toffees ambao waqna alama tano mbele ya wapinzani wao Liverpool pia wana michezo miwili ambayo wanaitegemea kumaliza wakiwa juu ya wapinzani wao na kumaliza katika moja yanafasi za juu kwa mara ya kwazan tangu 1937.

Jamie Carragher alikuwa katika mchezo wake wa 30 wa derby ya Maseryside ambapo katika derby hizo jumla ya michezo alishuhudia ushindi wa timu yake sare tisa na kufungwa michezo four.

Ajax are crowned Dutch Eredivisie league champions
Ajax imesheherekea taji lao la tatu mfululizo katika ligi ya uholanzi baada ya kuibomoa Willem 2 Tilbirg kwa mabao 5-0.
Ushindi huo umewafanya klabu hiyo ya Amsterdam kuwa mbele kwa alama nne huku wakisubiri mchezo wa mwisho dhidi ya Eredivisie .
Baada ya kutwaa taji hilo ambalo ni la 32 Kocha wa Ajax Frank De Boer anasema
"tulistahili licha ya kwamba walipoteza alama moja"
De Boer milestone
Hii ni mara ya kwanza kwa Frank de Boer kama meneja na pia kama mchezaji wa Ajax kutwaa taji hilo mfululizo mara tatu
"Tumeonyesha ubora katika muda wote na tumecheza soka zuri."
Kolbeinn Sigthorsson alifunga goli la kwanza dakika ya 12 na Christian Eriksen akifunga la tatu ambapo mashabiki wa Ajax wakaanza kushangia jukwani wakiimba "stand for the champion".
Mabao mengine yalifungwa na Viktor Fischer, nahodha  Siem de Jong na Danny Hoesen.
PSV jana waliwafunga NEC Nijmegen kwa mabao 4-2 na sasa wanasubiri mchezo wao wa mwisho kuona kama watafanikiwa kumaliza katika nafasi ya pili.
Feyenoord wanasaka nafasi ya tatu kwasasa wakiwa na alama tatu nyuma ya PSV, lakini mabao 37 yanawaweka katika nafasi mbaya.
Feyenoord itaaungana na Vitesse Arnhem kucheza  Europa League.
He also follows Rinus Michels (1966-68) and Louis van Gaal (1994-96) in leading the club to a hat-trick of league titles as manager.
Since World War II, only Guus Hiddink has accomplished the same feat, with PSV in 1987-89.

Chelsea: Jose Mourinho return hard to resist - Peter Kenyon
 Mtendaji mkuu wa zamani wa Chelsea Peter Kenyon anadhani kuwa klabu hiyo huenda ikakutana na upinzani mkubwa endapo itaaachana na mpango wa kumrejesha bosi wa sasa wa Real Madrid Jose Mourinho
Amenukuliwa akisema
"ni klabu ambayo ina mmoja kati ya makocha wazuri duniani mmiliki bora na klabu bora kitu ambacho ni ngumu kupinga"

Mourinho at Chelsea
  • 2 June 2004: Appointed manager
  • 27 February 2005: Wins Carling Cup, beating Liverpool 3-2
  • 30 April 2005: Beats Bolton 2-0 to win Premiership title
  • 4 May 2005: Signs new five-year contract
  • 29 April 2006: Beats Man Utd 3-0 to win Premiership again
  • 27 February 2007: Beats Arsenal 2-1 to win Carling Cup again
  • 19 May 2007: Wins FA Cup by beating Man Utd 1-0
  • 19 September 2007: Leaves Stamford Bridge
Kenyon ambaye alikuwa msaada mkubwa wa kuajiriwa kwa Mourinho kwa mara ya kwanza mwaka 2004 amesema kuwa pengine Pep Guardiola angekuwa na nafasi lakini hayupo labda Manuel Pellegrini anaweza kuangaliwa.
"Endapo ningekuwa ningepewa kazi ya kuchukua mmoja kati ya Pellegrini au Jose, Jose angechukua nafasi"


AC Leopards and Esperance through in Champions League
Mabingwa wa mwaka 2012 wa Confederation Cup AC Leopards imekuwa timu ya kwanza katika Champions League kufuzu kutoka nchini Congo Brazzaville kutinga hatua ya makundi baada ya kupata ushindi dhidi ya Entente Setif .

Leopards ilitumia faida ya ushindi wa mabao 3-1 wa hatua ya 16 katika mchezo wa kwanza na kabla ya matokeo ya mchezo wa marudiano ambapo Entente ilipigana na kurudisha kwa ushindi kama huyo na matokeo kusimama kwa sare ya mabao 4-4.
Mshindi alitafutwa kwa njia ya matuta ambapo Leopards ilipata magoli 5 na wapinzani wao kupata mabao 4.
Entente Setif sasa wanasubiri wasubiri mchezo wa play-offs kutoka kwa timu itakayopoteza katika michezo ya shirikisho.
-Recreativo Libolo of Angola imewatoa Enugu Rangers ya Nigerian, wakishinda nyumbani kwa mabao 3-1 mjini Calulo baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Mabao yalifungwa na msenegali Henri Camara na Dario Cardoso akifunga mabao mawili
Bao la Enugu lilifungwa na Sunday Mba baada ya mapumziko.
Esperance mbvele ya mashabiki wake wamweibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JSM Bejaia ya Algeria. Khalil Chammam ndiye aliyefunga goli kipindi cha pili kwa njia ya penati. Kumbuka mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya bila kufungana
Sewe San Pedro ya  Ivory Coast imesonga mbele baada ya sare ya bila kufungana na FUS Rabat ya Morocco. Timu hizo zilitoshana nguvu katika mchezo wa kwanza kwa kufungana bao 1-1mjini Abidjan. 

Coton Sport of Cameroon waliokuwa washindi wa pili wa taji miaka mitano iliyopita nyuma ya  Ahly imesonga mbele baada ya sare ya jana bila kufungana ambapo katika mchezo wa kwanza waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Stade Malien ya Mali.
Saint George ya Ethiopia ambayo ina matumaini ya kuwa klabu ya kwanza kutinga hatua ya makundi hii leo walikuwa nyumbani dhidi ya Zamalek ya Misri.
Katika mchezo wa kwanza walifanikiwa kupata sare ya bao 1-1 na mabingwa hao mara tano wiki mbili zilizo pita wakipata bao la uongozi kupitia kwa Oumed Oukri kabla ya Abdoulaye Cisse kusawazisha.
Mabingwa watetezi Al-Ahly wako nyumbani leo dhidi ya CA Bizertin ya Tunisia mjini Cairo na mchezo unapigwa bila ya mashabiki kufuatia mashabiki wake kurusha moto uwanjani katika mchezo wa hatua ya mwanzo ya timu 32 dhidi ya Tusker ya Kenya
Kocha wao Hossam Al Badry anasema
"Ahly will qualify,"
Katika mchezo wa kwanza walikwenda sare ya bila kufungana nchini Tunisia.
"We must not let the first leg result mislead us into complacency as Bizertin are a good team with strong players."

TP Mazembe ya  Democratic Republic of Congo imepunguza matumaini yao kufuatia kuchapwa kwa mabao 3-1 na Orlando Pirates ya Afrika kusini mchezo uliofanyika Afrika kusini .
Leo wakiwa mbele ya mashabiki wake takribani 25,000 wa mji mwa kusini kwa nchi hiyo ya Lubumbashi watakuwa na kazi ya kuidhoofisha Orlando Pirates na kutinga hatua ya makundio.

No comments:

Post a Comment