KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, May 6, 2013

UKURASA WA HABARI ZA KIMATAIFA: Mwamuzi wa Lubumbashi ni mbaya kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 35 ya kushuhudia michezo. NA habari nyingine nyingi..........................


 Kocha wa Orlando Pirates Roger de Sa ameelezea kile alichokiona katika mchezo wao wa jana wa pili wa klabu bingwa barani Afrika kama ni upendeleo wa hali ya juu kuwahi kushuhudia uliofanywa na mwamuzi wakati wa mchezo wao huo dhidi ya TP Mazembe mjini Lubunmbashi.
Amenukuliwa akisema
"the worst I have seen in 35 years of competitive sport."
Pirates maarufu kama ‘Buccaneers’ iliyomaliza mchezo ikiwa na wachezaji 10 uwanjani ilipoteza mchezo huo hu kwa kufngwa bao 1-0 lakini ikifanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2 kufuatia ushindi wao wa mchezo wa kwanza nchini Afrika Kusini wa mabao 3-1.
De Sa amesema kiwango cha upendeleo kilicho fanywa na mwamuzi raia wa Seychelles kilikuwa hakifanani na hali ya kawaida.
"Ilikuwa ni ndoto na sikudhani kama niliwahi kushuhudia kitu kama hicho katika maisha yangu michezo" .
"Mbali na hilo pia penati mbili walizo zawadiwa Mazembe – ziliokolewa na mlinda mlango Senzo Meyiwa zilikuwa hazieleweki ikiwa ni pamoja na kutolewa kwa nahodha wa Pirates Lucky Lekgwathi kipindi cha kwanza kilitufanya kuwa under siege (kuwa katika hali ya mawindo ya kuumizwa) kufuatia vitendo vya mwamuzi katika mchezo mzima.
"wakati mechi ikiendelea nilianzan kujiuliza hivi hivi vitu vinatokea kweli? Hivi huu ni mchezo?' na kama ndio sikuwahi kuwa sehemu ya."
Baada ya Meyiwa kuokoa penati katika dakika ya 90 mchezo ukaongezwa muda kwa dakika 8 ambazo De Sa amesema alikuwa akisali mwamuzi huyo asiwape tena penati Mazembe dhidi yao Pirates.
"I'm not one who believes sporting contests are influenced by divine intervention," said the Pirates coach, "but while my players put up an extraordinary brave performance under the circumstances, I could not help thinking at times somebody up their must like us and had come to our assistance in overcoming the uneven odds.
"Hata sehemu fulani ya mashabiki wa Mazembe ambao walikuwa kama 30 000 walianza kutushangilia kwasababu walikuwa wamekubali kile kilichokuwa kinatokea uwanjani na bado timu yao haikuweza kupata goli lingine ambalo lingewapa nafasi ya kusonga mbele kwa hatua inayofuata."

De Sa anasema ilikuwa "extreme irony" jambo ambalo kitendo cha mwamuzi kinaweza kugharimu ushindi mara mbili Mazembe katika mashindano katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
"wachezaji wa Mazembe walikuwa wakisubiri mwamuzi awasaidie badala ya kufanya kazi yao.
"Niliwaambia wachezaji wangu waepuke tackles pale itakapo wezekana kwa kuwa wangeadhibiwa.
De Sa anasema ni ngumu kwenda DRC kuliko sehemu nyingine yoyote .
"The hotel accommodation for the night we spent in the country was adequate and we had no complaints about the artificial pitch installed at the stadium by Fifa.
The Buccaneers, the only South African team to have won the premier African club tournament in 1995, returned to South Africa on Sunday night to a heroes welcome of about 2 000 supporters.
They now go into Tuesday's draw – to decide the two groups of four for the round robin stage of the competition – with a chance to salvage what has been a frustrating season. They have only an outside chance of retaining the Premier League title they won in the previous two seasons.

"It's a must win against Mamelodi Sundowns on Saturday," said De Sa, "but it will be good to return to soccer normality."

ILIKUWA VITA LUBUMBASHI- Meyiwa
Mlinda mlando wa Orlando Pirates Senzo Meyiwa ameelezea ushindi wao wa jana dhidi ya Mazembe kuwa ilikuwa ajabu “Amazing”.
Mlinda mlango huyo wa Bafana Bafana alikuwa nyota wa mchezo .
 “This was not a game, it was war,”
Ushindi wao wa jumla wa mabao 3-2 unawavusha Buccaneers mabingwa hao wa mwaka 1995 katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza tangu 2006.

Barcelona: Tito Vilanova kufanyiwa vipimo jumatano jijini New York
 Kocha mkuu wa Barcelona Tito Vilanova atasafiri kuelekea New York wiki hii kwa ajili ya kuangaliwa afya yake baada ya kuwa katika matibabu ya kansa hukohuko mwezi December.

Vilanova mwenye umri wa miaka 44, alikuwa katika dug-out jumapili wakati wa mchezo wa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Real Betis katika dimba la Nou Camp.
Endapo Real Madrid itashindwa katika mchezo wao wa jumatano hiyo moja kwa moja itawapata taji bila jasho Barcelona ambapo Vilanova atazikosa shangwe za ushindi wa taji la msimu.
Amekaririwa akisema
"Nakwenda kwa ajili ya uangalizi na nitarejea alahamisi"

    Endapo kikosi cha mreno Jose Mourinho kitashindwa kuchomza na ushindi na kupata lama tatu nyumabni dhidi ya Malaga hiyo jumatano ni wazi kwamba Catalans watatwaa taji la nne ndani ya kipindi cha miaka.
Hata kama Real itaibuka na ushindi , Barca watakuwa wana hitaji alama mbili tu kutwaa taji hilo huku nafasi nyingine ni jumamosi dhidi ya Atletico Madrid walio katika nafasi ya tatu.

Mwanasheria wa kesi ya Bosman,  Jean-Louis Dupont awapeleka tena Uefa kikaangoni juu ya sheria ya FFA
 Mwanasheria ambaye alikuwa msaada katika mabadiliko ya sheria za soka barani ulaya landmark Bosman case ameweka malalamiko mengine dhidi ya European Commission  juu ya sheria ya Financial Fair Play (FFP) ya EUFA.
Sheria ya FFP iliwekwa kuhakikisha vilabu vinatumia pungufu ya mapato yao ya msimu ambapo yeye anataka sheria hiyo mpya ianze kutumika mwisho wa msimu wa 2013-14
What are Uefa's Financial Fair Play regulations?
• The Club Financial Control Body (CFCB) was set up in June 2012 to oversee the application of the Uefa Club Licensing System and Financial Fair Play Regulations
• Clubs cannot repeatedly spend more than their generated revenues, and clubs will be obliged to meet all their transfer and employee payment commitments at all times

• Higher-risk clubs that fail certain indicators will also be required to provide budgets detailing their strategic plans
• Teams participating in Uefa club competitions have had their transfer and employee payables monitored since the summer of 2011. The break-even assessment covering the financial years ending 2012 and 2013 will be assessed during 2013-14
Mwanasheria Jean-Louis Dupont anadai kuwa sheria ya FFP inavunja sheria ya michuano ya Ulaya
Amekaririwa akisema
"wamkiliki wa vilabu wanazuiwa kutanuka hata kama utanukaji wao utakuwa na manufaa ya kukuza vilabu,".
December 1995, Jean-Marc Bosman mwenye umri wa miaka  31 raia wa Belgium alipinga sheria ya uhamisho wa wachezaji katika mahakama ya Ulaya kwa msingi wa kibiashara.
Aliposhinda kesi mwaka huo sheria za mabadiliko zikapewa jina la Bosman law ambapo miongoni mwa sheria hizo ni kuruhusu wachezaji wenye umri zaidi ya miaka 24 kuhama klabu zao baada ya kumaliza mkataba bila ya transfer fee pia ikamaliza kikwazo cha uhamisho wa wachezaji wa kigeni kutoka nchi wanachama wa Ulaya.
Dupont pia alikuwa ni sehemu ya timu ya wanasheria ambao walishinda sheria hizo na nyingine nyingi ambapo waliongoza kesi iliyolazimisha Uefa na Fifa kufidia vilabu ambavyo wachezaji wao waliumia katika majukumu ya kitaifa.
Mwanasheria huyo anasema FFP itazuia mapato kwa pande zote yaani wachezaji na mawakala wa wachezaji na pia itapunguza mambo mbalimbali ya shughuli za uhamisho na kwamba vilabu vikubwa vya Ulaya vitazidi kunufaika na kutawala soka.
Anasema pamoja na kwamba sheria hiyo imepitishwa lakini bado uwanja wa kukata rufaa upo kwani Uefa inaweza kufaidika na kufikia malengo yao.
European Commission imethibtisha kupopea malalamiko hayo lakini imeshindwa kusema lolote juu ya hilo.
Uefa iliiadhibu Besiktas ya Uturuki mwaka uliopita kwa kushindwa kulipia mahitaji yao na madeni kama ilivyokuwa kwa Malaga ya Hispania December 2012.
THE BOSMAN RULING EXPLAINED
-         On 15 December 1995, the European Court of Justice ruled that players should be free to move when their contracts had expired
-         It also ruled that EU clubs could hire any number of European Union players

Mario Balotelli analia na Allegri asiondoke AC Milan.
 Mario Balotelli ametaka AC Milan kufanya kila iwezavyo kumbakisha kocha wake mkuu Massimiliano Allegri.

Allegri mwenye umri wa miaka 45 amekuwa akihusishwa na kutaka kuelekea katika klabu ya AS Roma baada ya kuwepo taarifa kuwa kiungo wa zamani wa Milan Clarence Seedorf au  Mark van Bommel wanaweza kuchukua nafasi yake.
Amenukuliwa na Mediaset bnaada ya mchezo wa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Torino Baloteli akisema
"Nina imani atasalia kwani ninafuraha kuwa naye " .
"Endapo ningekuwa ndio klabu ningefanya kila kitu asalie"
Jumamosi iliyopita , Milan ilitoa taarifa ikipinga tetesi za kuondoka kwa Allegri baada ya kuwepo taarifa kuwa amkubali mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha Roma.
Allegri lishinda taji la Serie A katika msimu wake wa kwanza katika viunga vya San Siro kama meneja msimu wa 2010-11, na alimaliza katika nafasi ya pili msimu uliopiota nyuma ya Juventus.

Drogba na Sneijder wawapongeza mashabiki wao baada ya kutwaa taji la Uturuki.
 Didier Drogba na Wesley Sneijder wamewapongeza na kuwashukuru mashabiki wa Galatasaray baada ya ushindi wa taji la ligi ya Uturuki Super Lig.
Kikosi cha Fatih Terim kimetetea taji baada ya ushindi wa 4-2 dhidi ya Sivasspor hapo jana na nyota hao kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwa pamoja nao msimu mzima.
Amenukuwa Sneijder akisema
"tumefurahi kuwa mabingwa tukiwa na aina ya mashabiki hawa. Tuna mashabiki bora kabisa duniani"
Kwa upande wake Drogba amesikika akisema
 "nimefurahi kuwa sehemu ya kikosi hiki, mashabiki wetu wanastahili kila kitu.
Rais wa klabu Unal Aysal, naye vijana wake na kocha wake Terim na amesisitiza timu hiyo itafanya kila iwezavyo katika mchezo wao dhidi ya Fenerbahce wiki ijayo.

Mancini kumtema Hart mchezo wa fainali ya FA.
 Roberto Mancini amethibtisha kuwa Costel Pantilimon ataanza katika mchezo wa fainali ya jumamosi wa michuano ya FA dhidi ya Wigan mchezo utakao pigwa katika uwanja wa Wembley badala ya mlinda mlango nambari moja Joe Hart.
Mlinda mlango huyo raia wa Romania amekuwa akidaka katika michezo yote ya City ya michuano msimu huu na kwamba haitakuwa buisara kurejea kwa mlinda mlango nambari moja katika mchezo wa fainali.
Costel mwenye umri wa miaka  26 mrefu wa futi 6 na nchi 8 amefungwa goli moja tu katika michezo ya FA msimu huu akifungwa goli na mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba katika nusu fainali.
Alipoulizwa wakati wa mchezo wa sare ya bila mabao dhidi ya Swansea  juu ya kuanza kwa Hart jumamosi Mancini amesema "si dhani hivyo. Tulisha amua tangu kuanza kwa msimu , Pantilimon anastahili kucheza"
"Joe alishinda mataji mawili ya FA miaka miwili iliyopita, akashinda taji la ligi msimu uliopita, ni kipa mzuri England na nadhani atakuwa ni mwenye furaha kumuona kipa nambari mbili akicheza katika mchezo mkubwa.
"Najua anataka kucheza lakini mwanzoni mwa msimu tuliamua kwa pamoja kuwa Pantilimon kucheza michuano miwili."