KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 10, 2013

Nahodha wa timu ya taifa ya Malawi Joseph Kamwendo ahoji juu ya bonas kwa kocha wa zamani wa Yanga.

Nahodha wa timu ya taifa ya Malawi Joseph Kamwendo ameponda juu ya bonas aliyopewa kocha wake mpya wa timu ya yaifa Tom Saintfiet ya kiasi cha dolari za kimarekani US$10,000 endapo kikosi chake kitaibuka na ushindi.

Kocha huyo wa zamani wa Yanga raia wa Belgiam  hatakuwa akilipwa mshahara isipokuwa atakuwa akopewa bonas pale timu ya taufa ya Malawi maarufu kama Flames itashinda dhidi ya Nigeria mchezo wa kuwania kufuzu kuombe la dunia mwezi Septemba.

Kwa uoande wa wachezaji wa Malawi wao watazawadiwa dolari za kimarekani US$85 kama watashinda ambapo Kamwendo ameelezea kuwa bonas hiyo iliyopendekezwa kwa kocha ya dolari US$10,000 ni kama tusi.

Kamwendo amehoji 
"Why don't they (Malawi FA) make such offers to players?" 

"Kwanini tunaendelea kupata huduma isiyoridhisha na badala yake tunaelekeza kiasi kikubwa cha pesa kwa mtu mmoja? 

"Utumekuwa tukipigana kwa muda mrefu juu kuongezewa bonas lakini chama cha soka kinatudharau Fam ," .

Saintfiet ambaye amekubali kuifundisha Malawi kwa kuanzia na makubaliano ya miezi alitetea nafasi yake wakati akiongea na waandishi wa habari hapo jana kwa kusema 
Tom Saintfiet
Tom Saintfiet insists he can leal Malawi to the 2014 World Cup
Amekubali kuofundisha Flames kwasababu anaweza kuisaidia Malawi kufuzu kwa fainali ya kombe la dunia 2014.


"In the last weeks I got offers from clubs in South Africa, Kenya, Tunisia and Lebanon," he said.
"If I had decided last week to go to Lebanon I would have earned four-times that amount in the next two months whether I had won or lost that was secured money.
"So if I'd come to Malawi just for the bonus I'd be very stupid, I'd have signed somewhere else if money was important to me.
"I'm not here for money and that is the reason why I volunteered - I'm here because I have a dream that Malawi is a country that can go to the World Cup."
Saintfiet's arrival even lead to one concerned citizen filing a court injunction to stop the football association from hiring Saintfiet, but his case was rejected.
The coach has been backed by FA president Walter Nyamilandu.
"We've never qualified for the World Cup and Saintfiet is a coach with vast experience who can help us realise our dream," he said.
"We should appreciate that he is not demanding much."
Malawi are second in Group F of the 2014 World Cup qualifiers, two points behind leaders Nigeria.
The Flames must win the game in Abuja to reach the final round of play-offs, while a draw will be enough for the Super Eagles.
Saintfiet's first game in charge is against Zimbabwe on Saturday in the quarter-finals of the southern African regional tournament, the Cosafa Cup.

No comments:

Post a Comment