KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, December 10, 2012

FRANSIS MIYEYUSHO BINGWA WA WBF, AMSHINDA NASSIB RAMADHANI KWA T.K.O.

Pichani 1-Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangara kulia akimvisha mkanda wa ubingwa wa WBF bondia Fransic Miyeyusho baada ya kumtwanga Nassibu Ramadhani  kwa T.K.O raundi ya kumi kushoto ni promota wa mpambano huo Mohamed Bawazir.
Picha 2- Fransis Miyeyusho akibebwa na mashabiki wake baada ya kushinda kwa T.K.O.
Picha 3-Miyeyusho akisukuma konde la mbavu kwa Nassib Ramadhani wakati wa mchezo wa kuwania mkanda wa WBF mchezo uliofanyika ukumbi wa Karume PTA. 
Mapema kabisa mashabiki wakijitahidi kuingia ukumbini.

No comments:

Post a Comment