Hitzlsperger anasema kuwa alikubaliana na hali ya ushoga miaka michache iliyopita. |
Kiungo wa zamani wa vilabu vya Aston Villa, West Ham na Ujerumani Thomas Hitzlsperger ametangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ikiwa ni katika mpango wa kupambana na kuendelea kwa ushoga katika michezo.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye aliachana na fani yake ya kucheza soka tangu mwezi Septemba kutokana na kuandamwa na majeraha, ameliambia gazeti moja la nchini kijerumani la Die Zeit kuwa kwasasa ni wakati mzuri kwake kudhihirisha waziwazi kuwa kweli yeye ni shoga.
'Najitokeza kuweka wazi kuwa juu ya ushoga wangu kwasababu nataka mjadala juu ya hili miongoni kwa wamamichezo uendelee'
amesema Hitzlsperger .
Thomas Hitzlsperger amekuwa mchezaji soka wa kwanza wa kujitangaza kuwa shoga.
Hitzlsperger akionekana pichani katika jezi ya Aston Villa Novemba 2004, pia alivitumikia vilabu vya West Ham and Everton
Hitzlsperger pichani akifunga goli dhidi ya Burnley mwezi February 2011 alifahamika zaidi kwa nguvu ya kupiga mipira wakati wakicheza soka
Hitzlsperger anaunga ana Robbie Rogers na Anton Hysen katika orodha mashoga waliojiweka wazi hadharani
Akiwa bado kijana mdogo: Hitzlsperger akimbusu mpenzi wake wa wakati huo Inga Totzauer March 2002 wakati huo akiwa kiungo wa Aston Villa
Orodha ya mashoga wanamichezo
Tom Daley (Olympic diver)
Anton Hysen (Swedish footballer)
Jason Collins (US basketballer)
Nicola Adams (British boxer)
Orlando Cruz (Puerto Rica boxer)
Robbie Rogers (US footballer)
Anton Hysen (Swedish footballer)
Jason Collins (US basketballer)
Nicola Adams (British boxer)
Orlando Cruz (Puerto Rica boxer)
Robbie Rogers (US footballer)
Kiungo huyo amesema amesema kuwa alijikubali na kujitambua kuwa yeye ni shoga kamili miaka michache iliyopita na kujiona kuwa anaweza kuishi na mwanaume mwenzake kitu ambacho kilikuwa kigumu katika vyumba vya kubadilishia nguo.
Hata hivyo amesema kuwa hakuwa hakujionea aibu ingawa amekiri kuwa haikuwa rahisi kuishi huku nyuma yako kukiwa na maoni mengi yanayo kukashifu nyuma yako.
Winga wa zamani wa Leeds na Marekani Robbie Rogers mwaka jana alijitangaza kuwa yeye ni shoga.
Mshambuliaji wa Arsenal
Lukas Podolski amekipingeza kitendo cha kiungo huyo kujitangaza ambapo ametumia ukurasa wake wa Twitter kuandika ujumbe na kutupia picha ya Hitzlsperger ikiwa na ujumbe
'Brave and right decision. Respect, Thomas Hitzlsperger. His
outing is a important sign in our time.'
Hitzlsperger anaamini kuwa 'homosexuality' haichukuliwi 'seriously' katika soka nchini England
Mpenzi wa zamani wa Hitzlsperger wakati huo, Inga (kulia), akiangalia mechi ya soka baina ya UJrumani dhidi ya Ecuador kombe la dunia mwaka 2006
Nyota wa zamani wa kikosi cha wachezaji wenye umri chini ya miaka 21 wa England Justin Fashanu alikuwa ni mchezaji wa kwanza wa kulipwa wa Uingereza kujitangaza mwaka 1990 kabla ya kuanza maisha yake binafsi miaka minane baadaye akiwa na umri wa miaka 37.
Nyota wa Tennis
Martina Navratilova akijitangaza kuwa shoga mwaka 1981 ilhali John
Amaechi akiwa ni mchezaji wa kwanza wa NBA kujitangaza mwaka 2007.
Nahodha zamani wa timu ya Rugby ya Wales Gareth
Thomas, naye alifanya hivyo kama ilivyokuwa kwa Surrey 'wicketkeeper' Steven Davies, kujipambanua hadharani miaka mitano iliyopita.
Robbie
Rogers
Justin Fashanu
Mwezi uliopita Tom Daley akijitangaza kuwa yuko katika mahusiano na na mwanaume mwenzake huku washindi wengine wawili wa medali za dhahabu katika mchezo wa kuogelea nao wakijitangaza.
Muogeleaji Matthew Mitcham wa Austarlia ajinadi rasmi mwaka 2008 kabla ya bingwa wa Olympik ya Beijing na mara nne katika Olimpic Greg Louganis kujipambanua alikuwa shoga baada ya kustaafu soka mwaka 1995.
No comments:
Post a Comment