KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, August 20, 2013

TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA ZAANZA KUUZWA KWA KUANZIA NA DOLA 440 KWENDA JUU.

Tikiti  ya  kwanza  kwa  ajili  ya  fainali  za  kombe  la  dunia mwakani  nchini  Brazil inauzwa leo Jumanne. Maafisa  wa shirikisho  la  kandanda  duniani, FIFA ,wana matumaini kuwa ununuzi utakuwa  mkubwa  kama  ilivyokuwa  kwa fainali  za  kombe  la  dunia  mwaka  2006  nchini Ujerumani.

 Bei kwa  ajili  ya  tikiti  ya mchezo  wa  fainali imewekwa kuanzia  dola  440 na kwenda  juu. Kuna bei maalum zinazopatikana  kwa  baadhi  ya  Wabrazil  kwa ajili  ya  michezo  ya  mwanzo  ya  makundi.

No comments:

Post a Comment