KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, October 4, 2013

World Cup 2022: Fifa yaunda kikosi kazi.

Shirikisho la soka dunia Fifa limekubali kuunda kikosi kazi (taskforce) kuangalia tarehe mbadala ya kuandaa michuano ya kombe la dunia nchini Qatar mwaka 2022.
Lakini maamuzi ya mwisho ya juu ya michuano hiyo yenye utata yanatakiwa kupatikana kabla ya michuano kombe la dunia mwaka 2014.
Hofu kwamba Qatar kuna joto kali wakati wakati wa kiangazi ndio imeleta hali ya sintofahamu kiasi mjadala kulikumba shirikisho la soka duniani.

Kikosi kazi hicho kitashauri wataalamu wa utabibu, watangazaji wadhamini wakuu wa ligi mbalimbali barani Ulaya.
 
Taarifa ya Blatter hii leo imesomeka kuwa 
"tunahitaji kufanya mashauriano ya kina na kuonyesha We need to carry out very deep consultations and investigations and show some diplomacy and wisdom," said Fifa president Sepp Blatter.
At the climax of a two-day meeting in Zurich, Blatter also confirmed Asian Football Confederation president Sheikh Salman bin Ibrahim al-Khalifa would head the taskforce.
The BBC understands that Fifa is considering inviting English Premier League chief executive Richard Scudamore to be a member of the working group.

No comments:

Post a Comment