KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 11, 2014

MWANDISHI MKONGWE WA MICHEZO NA MWEKA HAZINA WA TASWA SULTAN SIKILO AZIKWA HUKO KIBADA, R.I.P SIKILO

Hivyo ndivyo ilivyokuwa wakati wa safari ya mwisho ya mwandishi mkongwe wa habari za michezo ambaye pia alikuwa ni mweka hazina wa chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA Sultani Sikilo alivyosindizwa katika safari yake mwisho huko Kibada. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya homa ya ini yaliyopelekea kifo chake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
Sultani Sikilo wakati wa uhai wake akiwa kazini

No comments:

Post a Comment