KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, July 27, 2014

UKARIBU WA GOLIKIPA MPYA WA ARSENAL OSPINA NA JESICA STERLING NI SAWA NA ARSENAL KUFANYA 'DOUBLE SIGNING'

Sunshine: David Ospina (right) and his wife Jesica Sterling (left) enjoy the rays on holiday
Romeo and Juliet: Ospina (left) and Jesica Sterling (right) hug and kiss on a balcony in front of a pool
Ni kama Romeo na Juliet ndivyo wanavyoonekana pichani.
Hugs: Loving couple Ospina (right) and Jesica Sterling (left) embrace and take a photo
Kumbato: Wapenzi Ospina (kulia) na Jesica Sterling (kushoto) ndani ya kumbato zito.
WAG: Jesica Sterling relaxes in some shades as she takes a selfie and posts it on Twitter
Jesica Sterling akiwa katika pozi la kujipiga picha mwenyewe ambayo aliitupia katika ukurasa wake wa Twitter.
Arsenal ni kama imefanya 'double signing' hii leo kufuatia usajili wa mlinda mlango David Ospina kuonekana yuko karibu mno na mke wake Jesica Sterling.
Ospina amekamilisha uhamisho wa pauni milioni £3.2 akitokea klabu ya Nice ya Ufaransa na kujiunga na Arsenal ambapo ataelekea London ya Kaskazini akiwa na mkewe Jesica Sterling ambaye ni kama kumbikumbi kwa Ospina.
Mlinda mlango huyo wa kimataifa wa Colombia mwenye umri wa miaka 25 atakuwa ni changamoto mpya kwa mlinda mlango namba moja wa Arsenal Wojciech Sczcesny msimu ujao.
Wawili hao walifunga ndoa tangu 2012, wakati huo Ospina alikuwa akiichezea Nice ya Ufaransa.
Wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike.
Ospina alisajiliwa na Nice mwaka 2008 akitokea Atletico Nacional na kuichezea kwa michezo 177 ya ligi.