KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 13, 2010

CHELSEA NEWS
Ramires akamilisha uhamisho kwenda Chelsea
Chelsea imefanikiwa kukamilisha usajiliwa kiungo wa Benfica Ramires kwa mkataba wa miaka minne.
Mabingwa hao wa kandanda wa “Premier League” walikuwa katika mazungumzo ya takribani majuma mawili na Benfica juu ya uhamisho wa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23 na sasa kukamilisha kwa ada inayoaminika kuwa ni ya pauni milioni 17. .

Ramires alikamisha zoezi la vipimo vya afya tangu jumapili lakini zoezi la uhamisho limecheleweshwa na matatizo ya hati za kikazi kwa kuwa nyota huyo hajaitumikia taifa lake kwa asilimia 75 . nyota huyo wa zamani wa Cruzeiro amekamilisha taratibu zote zinazo husiana na document ijumaa hii.

Hatakuwepo katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya uingereza “Premier League” dhidi ya West Brom na badala yake akitazamiwa kujiunga na wenzake juma lijalo.

Anakaririwa akisema "Every player in the world would love to play for Chelsea and it's a great opportunity that was given to me, I will give my best to repay this chance, and I am very happy,'' he told the club's official website.

Blues boss Carlo Ancelotti said: "He is a fantastic player, a fantastic midfielder, he is very young and will be the future of the Brazilian national team, and I hope he will be the future of Chelsea.''

No comments:

Post a Comment