KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 2, 2010


FASHION
Si lazima uvae ili muradi tu umevaa ,kuvaa kunakwenda na mwili wa mtu,kutana na ukurasa wa fashion kupitia blog hii ambayo ni ya wajanja na kukuekeleza wapi utapata vazi zuri la kuvaa mjini yapo maduka kibao lakini yote utapata mavazi yanayo endena na mwili tembelea maduka ya “kashushu fashion” yaliyopo sinza Kijiweni Na Mwenge kujionea mavazi yanayo kwenda na mwili kutegemeana na hali ya hewa.
Tunakuletea mavazi kutoka marekani na uingereza yanayo kwenda na msimu mavazi ya usiku na mavazi ya kuvaa wakati wa kazi. Kuna suti za kike na kiume viatu vya kike na kiume casual na ofisini handbag kwa akina dada na kofia toka kwa madesigner wakubwa bei yetu ni nafuu.KARIBUNI.

No comments:

Post a Comment