KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 2, 2010


SWALI LINALO NITATIZA

kila siku huwa najiuliza swali ni kwanini TFF(Shirikiko la kandanda Tanzania litaendelea kutumia Logo hii katika mtandao wake ambao unalitambulisha shirikisho hilo kimataifa licha ya kwamba jina la shirikisho limebadilika kutoka FAT(chama cha kandanda Tanzania) hebu tazama Logo hiyo ndiyo ambayo inatumika mpaka sasa kulitambulisha shirikisho hilo duniani.
Swali ni kama kuna tatizo mbona haliko wazi na kama hakuna namna ya kubadilisha viongozi wa TFF hawaoni kama kufanya hivyo ni kuupotosha umma dunia nzima kwasababu ya kuelta mkanganyiko wa mawasiliano kwa walw ambao watakuwa wanatafuta taarifa mbalimbali juu ya shirikisho lenyewe licha ya kwamba wa anuani lakini inautouti na na namna ya kutamka jina halisi la chombo hicho?
Ninavyo jua mimi Logo mpya ipo sasa nini ninashindikana kutobadilisha Logo ya zamani na kuweka mpya?huo ni ubabaishaji,badilisheni hiyo Logo kwenye mtandao wenu.
Jambo la pili kwanini mtandao huo hauona taarifa mpya “updates”toka ndani ya TFF ili kutoa nafasi za wale ambao hawana njia rahisi ya kupata habari za TFF kupitia vyombo vya habari vya nyumbani, kujua kwa wakati nini kinaendelea ndani ya soka la Tanzania hata kama wako nje ya nchi? Haya ni waswali mengine majibu yake ni kuwa karibu na mtandao wenu na kuufanya kuwa wa kisasa na sio taarifa za zamani.ni mawazo yangu.

No comments:

Post a Comment