KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 13, 2010

HASHIM KATIKA CLINIC YA MCHEZO WA KIKAPU KWA VIJANA JIJINI DAR ES SALAAM Hashim Thabit mchezaji wa timu ya Memphis ya Marekani inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu akiwa katika siku yake ya pili ya kuendesha clinic maaluma ya mchezo huo katika viwanja vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam

Hashim Thabiti akiwanyesha vijana namna ya kucheza lay-up katika moja ya mafunzo yake kwa vijana ya siku tatu nchini ambayo yanafanyika katika viwanja vya Don Basco Upanga jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment