KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 13, 2010


JUU ni sehemu tu ya makabidhiano ya vifaa vya michezo toka wadhamini wa ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara kampuni ya simu selula ya Vodacoma kwa vilabu 12 vinavyoshiriki ligi kuu kwa msimu wa 2010/2011.Jumla ya shilingi bilioni moja zimetolewa kuidhamini ligi hiyo huku nyingine milioni 667 zikiwa zimetengwa kugharamia uendeshwaji wa ligi hiyo. Vifaa hivyo vimekabidhiwa mkuu wa kitengo cha udhamini toka Vodacom na kupokelewa kwa niaba ya vilabu vyote na makamu wa pili wa Rais wa TFF Nasib Ramadhani.

No comments:

Post a Comment