KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 11, 2010

LIVERPOOL NEWS
Kirdi bado ana matumaini na Liverpool
Mmiliki mtarajiwa wa klabu ya Liverpool Yahya Kirdi amesisitiza kuwa hana mpango wa kuongeza hata senti moja zaidi ya kile alichokitangaza kama ilivyothaminishwa na kuonya kuwa na ulikishwaji wowote kufanywa ndani ya miezi miwli
Baadhi ya makundi kadhaa yameonyesha nia ya kuitaka Liverpool huku Kirdi akitoa taarifa mapema wiki hii kuwa akisema yupo katika mazungumzoa ya hatua ya juu pamoja na wamiliki pacha wa sasa Thomas Hicks na George Gillett kununua klabu hiyo kwa asilimia 100% .
Kirdi ambaye amesema wamili wa sasa wamewahi kukataa mpango wake mara mbili tangu walipotangaza kuuza klabu hiyo mwezi April na kusema pamoja na hayo kutokezea huko nyuma hana mpango wa kuongeza hata senti moja ya pauni zaidi ya kile kilichothaminishwa.
" Kirdi alikuwa akizungumza na Bloomberg akimalizia kwa kusema "I'm not crazy."
Taarifa zinaarifu kuwa mwenyekiti wa Liverpool Martin Broughton bado haja-recommend chochote kwa niaba ya board kwa kuwa bado hajaona proof ya fungu lolote toka kwa prospective owners huku Kirdi akisema hakuna prospect of a deal iliyokamilika kabla ya kufungwa kwa transfer window.
Taarifa zinasema Royal Bank of Scotland huenda ikaichukua Liverpool kama klabu hiyo haitafanikiwa kuuzwa ifikapo October 6.

No comments:

Post a Comment