TRANSFER NEWS
Balotelli could stay
Mshambuliaji wa Manchester City Mario Balotelli amekanusha juu ya taarifa kuwa huenda akaahirisha mpango wake wa uhamisho toka katika klabu ya Inter Milan .
Balotelli ambaye anatazamia kufanya sherehe ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuzaliwa kwake hapo kesho kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na kukamilisha uhamisho wake wa kuelekea Manchester City huku meneja wake mpya Roberto Mancini akisema ana matarajio ya kukamilisha usajili wake na kudaka saini zake rasmi mwishoni mwa juma hili.
Inter inafahamau kuwa sakata kuuzwa kwa mshambuliaji huyo litakamishwa hivi punde kupitia kwa Rais wa klabu Massimo Moratti wakati ambapo klabu hiyo imekuwa katika mipango ya kupata pesa kwa ajili ya kumpata kiungo wa Liverpool Javier Mascherano kwa gharama yoyote ile.
Alipiuliziwa juu ya future yake baada ya kuukana uraia wa asili wa Ivory Coast na kuwa tayari kasha ichezea Italia Balotelli ameiambia Sky Sport Italia 24 kuwa
"tayari nimesha juwa wapi naelekea lakini sitakuwa tayari kusema . najua nini kitatokea lakini pia si lazima kuondoka ."
Balotelli alikuwepo katika kikosi chenye wachezaji 32 cha Inter katika michuano ya European Super Cup jumanne na kupelekea kuwepo kwa wasiwasi juu ya kuondoka kwake licha ya kwamba kikosi ninaweza badilishwa hata kama kukiwa kumesalia masaa 24 kabla ya michuano kuanza. Inter itakabiliana dhidi ya Atletico Madrid on August 27.
No comments:
Post a Comment