![]() |
Ricky Burns |
Mscotish Ricky Burns anatarajia kuweka
taji lake la WBO lightweight rehani dhidi ya mwingereza Kevin Mitchell katika
jijini Glasgow September 22.
Burnsmwenye umri wa miaka 29 umri wake ni
zaidi kwa miezi 18 kwa mpinzani wake toka Essex lakini mabondia hawa wanarekodi
inayotaka kufanana na mara moja walishawahi kucheza mchezo wa maandalizi (sparring
partners).
Amenukuliwa Burns akisema
"katika mchezo huu napaswa kuthibisha
ubora mbele ya Mitchell na litakuwa pambana la mafahari wawili".
Bado kuthibitishwa ukumbi utakao tumika
kwa ajili ya pambano hilo.
No comments:
Post a Comment