KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 18, 2012

Thierry Henry adokeza kuwa hatarajii kuwa kocha baada ya kuacha kucheza soka




Baada ya hyko nyuma kuonyesha nia ya kutaka kufundisha baada ya kustaafu kucheza soka , Henry amrtanabaisha kuwa si kweli kwamba atafundisha baada ya kustaafu. Pia amemzungumzia maamuzi ya rafiki yake  Anelka kuelekea kucheza nchini China
Nyota huyo wa New York Red Bulls na mwasisi wa klabu ya Arsenal ameeleza hilo alipokuwa akizungumza na  Goal.com kuhusiana na hatma yake ya baadaye alipokuwa ka uzindizi wa PUMA's evoSpeed jijini New York nchini Mrekani jana.
Amenukuliwa akisema
"kile ninacho fikiria kuhusiana na hilo ni kwamba jambo hilo ni gumu usifikiri juu ya hilo unahitajika kuwa mwalimu tena mwalimu mkuu. Kufundisha si jambo la mzaha wakati mwingine unaweza kufikiria wewe mwenyewe lakini ni jinsi gani ya kulipisha ?ameuliza
Mwaka jana , Henry aliwaambia wanahabari kuwa ndoto yake ni kuichukua Arsenal baada ya kocha wa sasa  Arsene Wenger atakapo amua kustaafu.
Hata hivyo hakuweza kuweka wazi point ya msingi ya mabadaliko yaliyoko katika akili yake, na kueleza kuwa siku zote amekuwa ni mtu wa kutazama juu na mbinu ya kukabiliana nazo.
Baada ya kustaafu kutoka katika soka Henry ameendelea kusema kuwa atakuwa ni mtu wa kushawishi fursa zilizoko ndani ya michezo lakini kwasasa hajaamua ni zipi hizo. Lakini bado bila shaka hajawa wazi kama atakuwa kocha.
Henry pia amemzungumzia mshambuliaji mwenzake wa zamani wa timu ya Taifa ya Ufaransa Nicolas Anelka juu ya maamuzi yake ya kuelekea kucheza soka nchini China na kuachana na soka la Marekani .
Wakati Didier Drogba akionekana kumfuata Anelka katika klabu ya Shanghai Shenhua Henry haamini kuwa ni kuikacha ligi ya Marekani ya kaskazini.
Henry hata hivyo hakuzungumzia lolote juu ya hatma ya mshambiliaji Drogba lakini amedai kuwa bado kuna wachezaji wengi ambao wanataka kujiunga na MSL.
Amesema
"tangu nilipoanza kucheza soka nikiwa mdogo na umri wa miaka 16 nilikuwa nikitaka kucheza New York ,"
"nilitaka wengi waje na najua wako wengi wanataka kuja hapa".

No comments:

Post a Comment