Kongamano hilo litafanyika
kwa siku mbili katika Hotel ya Bluepearl Ubungo Jijini Dar es salaam june 21 na
22.
Mkurugenzi wa idara
ya michezo nchini LEONARD THADEO amesema kongamano hilo litawashirika wadau
mbalimbali wa michezo kutoka nje na ndani ya nchi.
Amesema lengo la
kongamano hilo ni kutoa fursa kwa wadau kubadilishana mawazo na kuelezana
changamoto zinazoikabili Mbali na kubadilishana mawazo wadau hao pia
wataangalia sera ya michezo nchini na kutoa ushauri wa nini kifanyike ili
kufikia malengo yaliyomo.
No comments:
Post a Comment