Juan aihama Roma
Mlinzi wa
kibrazil Juan ameamua kumnaliza muda wake wa kutoa huduma ya miaka mitano
aliyokuwepo katika klabu ya Roma baada ya kusaini kuicheza kwa mkataba wa miaka
miwili klabu ya Internacional.
Juan mwenye
umri wa miaka 33 alikuwa bado ana muda wa mwaka mmoja wa kuicheza klabu yake ya
Roma ambayo alijiunga nayo akitokea Leverkusen kwa ada ya uhamisho ya pauni za
kingereza milioni £5 mwaka 2007, na sasa ameamua na kuamua kurejea nyumbani
alikozaliwa
"mpira
wa miguu ni kuzunguka ma mimi niseme tu Roma ni pazuri sana ,"hii ni kauli
aliyoitoa alipokuwa akiongea na Gazzetta dello Sport.
"siku zote nitakuwa na mashabiki wangu na
wachezaji wenzangu moyoni ambayo walikuwa wananiheshimu.
"naondoka
huku huku kichwa nikiinua juu kwa kuwa nilikuwa nikifanya vema najuivunia hilo."
Roma ameichezea
zaidi ya michezo 100 akifunga jumla ya
mabao 11 na kuichezea timu ya taifa ya Brazil mi ichezo 82 kabla ya kustaafu mwaka 2010.
No comments:
Post a Comment